POST-MATCH
Buzuruga yapokea tena Kichapo
2026-07-29 22:57:00

Timu ya Nyakato imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Buzuruga katika mchezo wa kusisimua wa mashindano ya Kafiti Cup 2026 uliochezwa kwenye moja ya viwanja vya Jimbo la Ilemela.
2026-07-29 22:57:00

Sign in to comment.
No comments yet.